[{"id":"1","visit_number":"1","week_from":"8","week_to":"12","description":"kliniki ya Kwanza. Kufungua kadi ya kliniki, vipimo vya damu, shinikizo la damu, uzito, na ushauri wa lishe."},{"id":"2","visit_number":"2","week_from":"13","week_to":"16","description":"klinik ya pili. Kufuatilia maendeleo ya ujauzito na matokeo ya vipimo."},{"id":"3","visit_number":"3","week_from":"17","week_to":"20","description":"klinik ya tatu. Kipimo cha ukuaji wa mtoto na kusikiliza mapigo ya moyo wa mtoto."},{"id":"4","visit_number":"4","week_from":"21","week_to":"24","description":"kliniki ya nne. Chanjo ya pepopunda (TT) na ushauri wa maandalizi ya kujifungua."},{"id":"5","visit_number":"5","week_from":"25","week_to":"28","description":"kliniki ya tano. Kupima shinikizo la damu, mkojo, na kufuatilia dalili za hatari."},{"id":"6","visit_number":"6","week_from":"29","week_to":"32","description":"kliniki ya sita. Kufuatilia harakati za mtoto na ushauri wa kunyonyesha."},{"id":"7","visit_number":"7","week_from":"33","week_to":"36","description":"kliniki ya saba. Kuandaa mpango wa kujifungua na dalili za uchungu wa uzazi."},{"id":"8","visit_number":"8","week_from":"37","week_to":"40","description":"kliniki ya nane. Ufuatiliaji wa mwisho kabla ya kujifungua na maandalizi ya kwenda hospitali."}]