[{"id":"6","title":"Ratiba ya Chanjo kwa Mtoto","image":"http:\/\/totocare.lokobnb.com\/uploads\/banner6.jpg","link":"Hakikisha mtoto wako anapata chanjo zote kwa wakati kulingana na ratiba ya kliniki."},{"id":"5","title":"Dalili za Hatari Wakati wa Ujauzito","image":"http:\/\/totocare.lokobnb.com\/uploads\/banner5.jpg","link":"Kutokwa damu, maumivu makali au kizunguzungu kikali vinahitaji hospitali haraka."},{"id":"4","title":"Mazoezi Salama Wakati wa Ujauzito","image":"http:\/\/totocare.lokobnb.com\/uploads\/banner4.jpg","link":"Kutembea na mazoezi mepesi husaidia kupunguza maumivu ya mgongo."},{"id":"3","title":"Unyonyeshaji Sahihi kwa Mtoto","image":"http:\/\/totocare.lokobnb.com\/uploads\/banner3.jpg","link":"Maziwa ya mama pekee kwa miezi 6 ya mwanzo humkinga mtoto dhidi ya magonjwa."},{"id":"2","title":"Lishe Bora kwa Mama Mjamzito","image":"http:\/\/totocare.lokobnb.com\/uploads\/banner2.jpg","link":"Kula vyakula vyenye protini, matunda na mboga kwa afya yako na mtoto."},{"id":"1","title":"Hudhuria Kliniki ya Wajawazito Mapema","image":"http:\/\/totocare.lokobnb.com\/uploads\/banner1.jpg","link":"Kliniki ya mapema husaidia kugundua matatizo kabla hayajawa makubwa."}]